Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako Letras

Abbah


  • Canciones23
  • Videos23
  • Visitas733
  • Leyendo0

Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako Letras

Paroles de la chanson Mwagia Ndani par ABBAH
(Sounds by Abbah)

Long time niikuona eeh
Penzi kama tulianza jana
Sometimes ananikera
Nampea kwanza nawaza naye

Mafisi wanajikoki
Wataka penzi langu hawalipati
Ndo kwanza ye ananiposti
Pole wabambe itawakosti

Eeh tate nane tumeshibana
Eeh sa itakuwaje tukitengana

Tukiongozana si unaona 

Bibi na bwana si unaona
Tunavyopendana si unaona
Mfupa kwa nyama si unaona

Boy now tell me what to do

letra de Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako

Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako Lyrics

Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako Musica

Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako Cancion

0:00 / 0:00

    Informacion

    Mwagia Ndani Ft Maua Sama G Nako es una canción interpretada por Abbah